CM
Chrisper Malamsha
23quotes
Quotes by Chrisper Malamsha
"
Kuna watu wanatumia nguvu nyingi nyingi kusafisha kilichopita na kusahau kama hakuna marudio,usikumbuke ya yaliyopita bali jifunze kupita hayo.
"
Mimi ni mmoja kati ya wale wasiopenda maendeleo ya watu wachache au peke yako ndomana nimechagua mabadiliko katika maisha yangu sisubirii wanasiasa
"
Mara nyingi kushinda Ugomvi ndio Heshima isiyo na maana kwenye jamii inayotambua maana ya upendo.
"
I want to be so successful that one day my mom never has to buy a thing for herself again
"
Anzia popote pale ulipo kwa chochote ulichonacho,Ipo siku utakuwa mtu fulan uliyetaman kuwa kwa miaka mingi
Showing 1 to 10 of 23 results